michezo/Riadha : matukio mbali mbali katika mbio za HAPA KAZI TU Dodoma Half Marathon - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


5 Feb 2016

michezo/Riadha : matukio mbali mbali katika mbio za HAPA KAZI TU Dodoma Half Marathon

 Picha Zote na Gadiola Emanuel, Dodoma. 0755 643 633
Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa akifika kwenye banda la kuandikishwa washindi wa mbio hizo za HAPA KAZI TU Dodoma Half Marathon iliyofanyika tarehe 30 Jan, 2016 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa akielekea jukwaa kuu baada ya kukimbia km 2 katika mbio za HAPA KAZI TU Dodoma Half Marathon iliyofanyika tarehe 30 Jan, 2016 Mjini Dodoma.

Mhe. Waziri mhe. Majaliwa (katikati), Naibu Spika (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Galawa (kulia)

Waziri Mavunde baada ya kushiriki mbio hizo
Mwanamuziki Stara Thomas nae alishiriki

Waziri Angellah Kairuki, Mama Samwel Sitta na Waheshimiwa wengine walishiriki
watoto hawa nao walishiriki mbo hizo
Officials wa chama cha riadha nchini, wakiongozwa na Filbert Bayi wakipanga mipango mbali mbali
washiriki wa mbio za km 21.1 wakijiandaa


Waziri Nape Nnauye




Waziri Mkuu akijiandaa kupuliza filimbi ya kuashiria kuanza kwa mashindano ya km 21.1 ya wanariadha wazoefu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad