Michezo : Viingilio vya kuziona Simba na Yanga ni elfu saba (ths 7,000) tu - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


16 Feb 2016

Michezo : Viingilio vya kuziona Simba na Yanga ni elfu saba (ths 7,000) tu


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Jumamosi kati ya watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku kiingilio cha chini kikiwa ni Shilingi elfu saba tu (7,000).Kiingilio cha juu cha mchezo huo kitakua shilingi Elfu Thelathini (30,000) kwa VIP A, Elfu Ishirini (20,000) VIP B & C, Elfu Kumi (10,000) kwa viti vya rangi ya machungwa (Orange), na Elfu Saba (7,000) kwa viti vya rangi ya bluu na kijani. Kwa maelezo zaidi bofya hapa >>>

Post Top Ad