MUZIKI : MWILI WA MTOTO WA JULIANA KANYOMOZI (KERON) WAWASILI UGANDA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 23 July 2014

MUZIKI : MWILI WA MTOTO WA JULIANA KANYOMOZI (KERON) WAWASILI UGANDA


Mwili wa mtoto wa mwanamuziki wa Uganda Juliana Kanyomozi ukishushwa kutoka kwenye ndege ya Kenya Airways iliyoleta mwili huo wa mtoto Keron aliyefariki siku ya Jumapili nchini Kenya kwa Asthma; Ndugu, jamaa na marafiki waliokuwepo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe kwa ajili ya kuupokea mwili huo.

No comments:

Post a Comment