Mfuko wa Jamii : NSSF yazindua mpango wa Akiba na afya kwa wanafunzi wa Vyuo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 9 February 2016

demo-image

Mfuko wa Jamii : NSSF yazindua mpango wa Akiba na afya kwa wanafunzi wa Vyuo

_MGS3069 Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde (kushoto) akimkabidhi mfano wa kadi ya uanchama wa NSSF, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Rajabu Mahumba wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa AKIBA na AFYA 'AAPLUS' kwa wanafunzi wa vyuo hafla hiyo ilifanyika Chuo Kikuu cha Dodoma, mwishoni mwa wiki.
 (Picha na Francis Dande)
_MGS2856
 Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mariam Ahmed akimkaribisha Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde kwenye uzinduzi wa Mpango wa Hifadhi ya Jamii kwa Wanafunzi 'AAPLUS', uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). _MGS2863
 Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde akipeana mkono na Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa NSSF wa Akiba na Afya kwa Wanafunzi wa Vyuo, uliofanyika UDOM. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Mariam Ahmed.
_MGS2894
 Baadhi ya maofisa wa NSSF wakifuatilia uzinduzi huo.
_MGS2903
Meza Kuu.
_MGS2887
Wanafunzi.
_MGS2898
Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa NSSF wa Akiba na Afya kwa Wanafunzi wa Vyuo.
_MGS2884
Baadhi ya waafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde.  
_MGS2929
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mariam Ahmed.
_MGS2955
Mshauri wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dick Manongi akizungumza katika uzinduzi huo. 
_MGS2969
 Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mpango wa NSSF wa Akiba na Afya kwa Wanafunzi wa Vyuo uliofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma. 
_MGS2974
 Wakifuatilia uzinduzi huo.
_MGS3205
Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma akitoa mada wakati wa uzinduzi wa mpango wa Akiba na Afya 'AAPLUS' kwa wanafunzi wa vyuo.
_MGS3224
Mwanafunzi wa UDOM, Mishi Jumanne akiuliza swali kuhusu uanachama wa NSSF.
_MGS3183
 Wanafunzi wakipimwa afya katika viwanja vya chuo cha UDOM._MGS3160
 Dk. Leilah Manga wa Kituo cha Afya Chuo Kikuu cha Dodoma akipima mapigo ya moyo ya mwanafunzi wa UDOM, Hoza Ernest 
_MGS3254
Wanafunzi wakijaza fomu za kujiunga na NSSF.
_MGS3283
 Ofisa Matekelezo wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Issa Salim (kulia) akitoa maelekezo kwa wanafunzi wa UDOM waliojiunga na NSSF.
_MGS3324Ofisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo, Abubakar Soud (katikati) akiwaelekeza namna ya kujaza fomu ya kujiunga na NSSF, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango wa Akiba na Afya 'AAPLUS' kwa wanafunzi wa vyuo uliofanyika katika chuo hicho, mwishoni mwa wiki.

_MGS3126Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde (katikat) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa NSSF pamoja na baadhi ya wanafunzi wa UDOM._MGS2871
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde akiagana na Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa NSSF, Abdul Mzee.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *