Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment