Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka kulia ni Vedasto Msungu (ITV),
Gerald Kitabu (The Guardian), David Rwenyagira (Radio Five) na Meneja
Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete katika picha ya pamoja katika
ofisi za Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) jijini
Johannesburg.
Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakifanya mahojiano ndani ya Studio za
Shirika la Utangazaji la Afrika ya Kusini (SABC- Channel Afrika).
Kutoka kushoto ni David Rwenyagira (Radio Five), Gerald Kitabu (The
Guardian), Vedasto Msungu (ITV) na Mtayarishaji Vipindi Isaack Khomo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Jukwaa la Wahariri nchini Afrika Kusini Mathatha Tsedu
(mwenye kofia) akimsikiliza kwa makini Meneja Mawasiliano wa TANAPA
Pascal Shelutete wakati wa ziara ya mafunzo kwa washindi wa Tuzo za
Habari za TANAPA 2013 nchini humo. Baadhi ya washindi hao ni pamoja na
Vedasto Msungu kutoka ITV (kulia) na Gerald Kitabu (The Guardian
Newspaper).
Mkurugenzi
Mtendaji wa Jukwaa la Wahariri Afrika Kusini Mathatha Tsedu (wa tatu
kulia) akiwa pamoja na Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka
kushoto ni Gerald Kitabu (The Guardian), Vedasto Msungu (ITV), David
Rwenyagira (Radio Five) na Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal
Shelutete.
Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 . Kutoka kulia ni David Rwenyagira
(Radio Five), Vedasto Msungu (ITV), Gerald Kitabu (The Guardian) na
Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete wakiwa nje ya Ofisi za
Makao Makuu ya Jukwaa la Wahariri Afrika Kusini.
Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakiwa pamoja na Mhariri Mkuu wa
Habari na Matukio wa Channel Afrika ya Shirika la Utangazaji la Afrika
Kusini (SABC) Busi Chaane (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Idhaa ya
Kiswahili ya Channel Afrika ya SABC Mike Arareng (wa kwanza kulia)
walipotembelea studio hizo kwa ziara ya mafunzo.
No comments:
Post a Comment