Mbunge
wa jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea amefikishwa mahakama ya Kisutu
jijini Dar es Salaam mapema hii leo akielekea katika chumba cha
kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni, Paul Makonda.
Mbunge wa
jimbo Ubungo,(Chadema) Said Kubenea akiwa na wanachama wa chama cha
Demokrasia na Maendeleo, leo mara baada ya kusomewa shitaka lililokuwa
likimkabiri katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Mbunge wa
jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea akizungumza na waandishi wa habari
katika mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Hata hivyo, Kubenea amekana kufanya kitendo hicho na kesi yake imehairishwa hadi Desema 29, mwaka huu.
Picha na Avila Kakingo.
No comments:
Post a Comment