Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli
(kushoto) akimuapisha Mhe. Profesa Jumanne Maghembe (kulia) kuwa Waziri
wa Maliasili na Utalii, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli
(kushoto) akimuapisha Mhe. Dkt. Joyce Ndalichako (kulia) kuwa Waziri wa
Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi. (Ni baada ya kumteua kuwa
Mbunge), leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli
(kushoto) akimuapisha Mhe. Dkt. Philip Mpango (kulia) kuwa Waziri wa
Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge), leo Ikulu Jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph
Magufuli (kushoto) akimuapisha Mhe. Mhandisi Gerson Lwenge (kulia) kuwa
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli
(kushoto) akimuapisha Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kulia) (amehamishwa
kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji) na kwenda Wizara ya Ujenzi,
uchukuzi na Mawasiliano leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli
(kushoto) akimuapisha Mhe. Hamad Masauni (kulia) kuwa Naibu Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni na Sanaa, Bi. Anastazia Wambura
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na
Ufundi, Mhe. Joyce Ndalichako (katikati) wakati wa sherehe ya kuapishwa
kwa Mawziri wapya wanne ambao walikuwa bado hawajateuliwa na Rais,
sherehe hizo zimefanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mawaziri wapya wakiwa tayari kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mawaziri wapya wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli
(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wapya wanne na
Manaibu Waziri leo Ikulu Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha.
Wa pili kushoto mstari wa mbelel ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, wa pili kushoto ni
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majliwa.(Picha zote na
Benedict Liwenga)
No comments:
Post a Comment