Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia
Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa
kwa ajili ya matibabu.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia
Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa
kwa ajili ya matibabu.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishai na
Madini Mhe. Medard Kalemani mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege
wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini
India alikokuwa kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge
Mhe. Tulia Ackson na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Anastazia Wambula na aliyeko kulia ni Katibu wa Bunge
Dkt. Thomas Kashililah
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai na Mkewe wakisalimiana na Katibu wa Bunge Dkt.
Thomas Kashililah mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini
India alikokuwa kwa matibabu.
Katibu
wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo kwa Spika wa Bunge
Mhe. Job Ndugai mara baada ya kumpokea katika uwanja Ndege wa Kimataifa
wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India
alikokuwa kwa ajili ya matibabu. Katikati ni Naibu Spika wa Bunge Mhe.
Tulia Ackson.
No comments:
Post a Comment