Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) (kushoto) akiwahimiza watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma
kuwajibika alipoitembelea ofisi hiyo mapema.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) (wa pili kulia) akizungumza na watumishi wa Bodi ya Mishahara na
Masilahi katika Utumishi wa Umma alipoitembelea ofisi hiyo mapema.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) (kushoto) akimsikiliza Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi.
Claudia Mpangala alipoitembelea ofisi hiyo mapema.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) akitazama nyaraka inayoandaliwa kutunzwa katika nakala laini (soft
copy) alipoitembelea Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa mapema.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) (kulia) akitazama moja ya kifaa cha kutunzia kumbukumbu
alipoitembelea Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa mapema .
No comments:
Post a Comment