Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kimara, Dk. Alphoncina Mbinda (kushoto)
akipokea baadhi ya mashine za kupimia mapigo ya moyo kwa mgonjwa kutoka
kwa Meneja Uratibu wa NMB Plc, Thomas Kilongo. Miongoni mwa mashine
zilizotolewa ni pamoja na mashine ya kupimia joto la mgonjwa, mashine 10
za kupimia 'BP' kwa mgonjwa, mashine 10 za kupimia mapigo ya moyo,
mzani wa kupimia uzito na urefu kwa wagonjwa, vifaa vya kukusanyia taka,
spika na kipaza sauti chake pamoja na mashine nyingine za kisasa kwa
ajili ya vipimo anuai kwa wagonjwa.

Mganga
Mfawidhi Zahanati ya Kimara, Dk. Alphoncina Mbinda (kushoto) akitoa
neno la shukrani kwa Benki ya NMB Plc mara baada ya kukabidhiwa mashine
mbalimbali pamoja na vifaa vya kutibia wagonjwa katika Zahanati hiyo.
Baadhi ya maofisa wawakilishi wa Benki ya NMB Plc wakiongozwa na Meneja
Uratibu wa benki hiyo, Thomas Kilongo (wa tatu kulia) wakisoma orodha
ya vifaa vilivyo kabidhiwa na benki hiyo kama msaada kwa Zahanati ya
Kimara.
Baadhi
ya maofisa wa Benki ya NMB Plc pamoja na manesi wa Zahanati ya Kimara
ya jijini Dar es Salaam wakipokea baadhi ya vifaa vya msaada
vilivyotolewa na benki ya NMB Plc.
Baadhi
ya maofisa wa Benki ya NMB Plc pamoja na manesi wa Zahanati ya Kimara
ya jijini Dar es Salaam wakipokea baadhi ya vifaa vya msaada
vilivyotolewa na benki ya NMB Plc.
Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kimara, Dk. Alphoncina Mbinda (kushoto)
akitoa neno la shukrani kwa Benki ya NMB Plc mara baada ya kukabidhiwa
mashine mbalimbali pamoja na vifaa vya kutibia wagonjwa katika Zahanati
hiyo.
Baadhi ya manesi wa Zahanati ya Kimara ya jijini Dar es Salaam na
wafanyakazi wa NMB Plc wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kupokea msaada wa mashine mbalimbali za kuchukulia vipimo kwa wagonjwa.
Vifaa hivyo vina thamani ya shilingi milioni 1.9.
Mkuu wa kitengo cha huduma ya afya kwa mama na mtoto wa Zahanati ya
Kimara ya jijini Dar es Salaam, Prosister Kiwango (wa kwanza kushoto)
akitoa tangazo kwa wagonjwa kutumia spika pamoja na kipaza sauti
kilichotolewa kama msaada na Benki ya NMB Plc kwa Zahanati hiyo.
No comments:
Post a Comment