


Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Balozi
wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es salaam leo
Novemba 30, 2015


Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Balozi
wa Korea ya Kusini hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam
leo Novemba 30, 2015. Balozi huyo pia alitumia nafasi hiyo kumuaga Rais
kwa kuwa muda wake wa kufanya kazi nchini umemalizika.



Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na
aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba Ikulu jijini Dar es
salaam leo Novemba. Profesa Lipumba amempondeza Rais kwa kuchaguliwa
kwake kwa kishindo na pia ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa
wakati wa kufungua Bunge la 11 mjini Dodoma 30, 2015
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment