Matukio : Rais Jakaya Kikwete Aagwa Rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Sunday, 4 October 2015

Matukio : Rais Jakaya Kikwete Aagwa Rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), Jijini Dar

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Dkt. Reginald Mengi katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wadau alipowasili katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.


















 
 






























































No comments:

Post a Comment