Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa
Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, Nassor Mazrui, wakati akiwasili
katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, zilizofanyika
kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar Septemba 9,
2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, ZANZIBAR
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa
CHADEMA-Zanzibar, Salum Mwalim, wakati akiwasili katika Mkutano wa
Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika
kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar Septemba 9,
2015.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwapungia wananchi wa
Zanzibar (hawapo pichani) walioshiriki Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha
Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia,
Kibanda Maiti, Zanzibar Septemba 9, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mgombea Mwenza wake,
Mh. Juma Duni Haji, katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha
Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia,
Kibanda Maiti, Zanzibar Septemba 9, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Urais wa Ukawa wa
Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad,
wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CUF, zilizofanyika kwenye
Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar Septemba 9, 2015.
Wakubwa wakiteta jambo.
Wimbo maalum wa Chama cha Wananchi CUF ukipigwa.
Maalim Seif akiongoza ufunguzi wa Kampeni hizo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia kwenye Mkutano huo.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwasalimia wazanzibar.
No comments:
Post a Comment