Wananchi
wa Mji wa Singida wakiishangilia Chopa ya Mgombea Urais wa Tanzania wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida Septemba 12, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, SINGIDA.
Wadau
wa Singida wakitafuta namna ya kupata taswira ya Mgombea wao, wakati
akiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini humo Septemba 12, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Fredrick
Sumaye wakiwapungua wananchi wa mji wa Singida, mara baada ya kuwasili
kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini humo Septemba 12, 2015,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo.
Mabango yenye jumbe mbali mbali kwenye Mkutano huo.
Mkali wa Propaganda, Tambwe Hizza akisema yake kwenye Mkutano huo.
Mke wa
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa
akiwasalimia wananchi wa mji wa Singida .
Waziri
wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Lawrance Masha akionyesha
Ilani ya Chama chao kwa Maelfu ya wananchi wa mji wa Singida,
waliofurika kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini humo leo Septemba 12, 2015.
Mwanasheria
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Tundu Lissu
akimuonyesha Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, mfano wa funguo
wenye ujumbe, aliopewa na wananchi wa Singida, wakati wa Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini humo Septemba
12, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akionyesha mfano wa funguo kwa umati wa
wananchi wa Singida, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Peoples,
Mjini humo leo Septemba 12, 2015.
Waziri
Mkuu mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia Mkutano wa Kampeni za
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Peoples, Mjini Singida Septemba 12, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida Septemba 12,
2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa UKAWA kupitia
CHADEMA wa Jimbo la Singida Mjini, Mgana Msindai "CRDB", katika Mkutano
wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida Septemba 12, 2015.
No comments:
Post a Comment