Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akinadi sera zake kwa umati wa wakazi wa
Mji wa Dodoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Barafu,
Mjini humo Septemba 11, 2015, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa
Mikutano yake ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba
25, mwaka huu.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, DODOMA
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa
Jimbo la Dodoma Mjini, Benson Kigaila, wakati wa Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini Dodoma Septemba 11, 2015.
Waziri
Mkuu mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa mji wa
Dodoma waliofurika kwa wingi wao kwenye Uwanja wa Barafu mjini humo, kwa
ajili ya kusikiliza sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Mwanasheria
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwaga
cheche zake katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa
UKAWA kupitia Chama hicho, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja
wa Barafu, Mjini Dodoma.
Shangwe
za nguvu wakati Chopa ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
ikiwasili uwanjani hapo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alieambatana na Waziri Mkuu mstaafu, Mh.
Fredrick Sumaye, wakiwasili kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini Dodoma.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwa kwenye gari lake la wazi huku umati
wa wananchi wa Dodoma ukimsindikiza wakati akitokea kwenye Mkutano wa
Kampeni uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini Dodoma Septemba 11, 2015.
No comments:
Post a Comment