CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’
MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA
naturalista hadi siku ya harusi
MADAMEEE DIANA AKITUMIKA
HATIMAYE USIKU UKAWASILI BI HARUSI AKAZAMA UKUMBINI
TUKIO Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia show
Pi harusi wakati akimsaka WAubani akajaa tumpe password aliko
MENGINEEEE TUWAACHIE BABA NA MAMA…… YASHINYANGA YALIBAKI SHINYANGA
|
Posted: 11 Aug 2015 08:47 AM PDT
WAKATI
TUKIJISUUZA KWA SWIMMING POOL BAADA YA CHAI YA JIONI MAMAA HILDA WA
SMILEY KIDS EVENTS ALIKUWA MZIGONI KUTUANDALIA SEHEMU YA DINNER
SHUGHULI ZA JIGAUNI MBURUZOO NDO HIZI UKICHEZA SHURTI ULIWEKE MKONONI
SELFIE WITH THE BRIDE TO BE
MKUBALI TU HALI HALISI ni hii mzigo wa kula……huku kubebwa muhimuuu
FMF FLAVIANA
MATATA FOUNDATION ILIHUSIKA KIMTINDO , MNAKUMBUKA ILE KAMPENI YETU YA
KUGAWA MABOYA….TULIFURAHI KUVAA KUWA MABOYA USAFIRI SALAMA MAJINI
NA TULITINGA KISIWANIIIIII
PAZURIIII YANI PICHA TU INAKUPA AMANI YA MOYO
WENYEJI WETU LAZY LAGOON ….HAO MBWA NI VERE FRIENDLY shost alikuwa kila akikutana nao wanabusu mi sikuwa na muelewa…hoby za kizungu
MAPOKEZI …..NI KWA GLASS YA JUICE
MBWA NAE KAMGANDA FLAVY
#FLAVYBRIDALSHOWER #BRIDALSHOWERATTHEBEACH
NI SWAGGA TU ZA BEACH #BEACHTINGZ
MIWANI YAJIELEZA #TEAMBRIDE
POZI ZINGINE TUWAACHIE MAMODEL
MHUSIKA MKUU MMEMUONA NA POZI ZAKE
BAADA YA KUMALIZANA NA BEACH TINGS TUKAHAMIA HUKU
FOR TEA BREAK NA SWIMMING POOL KUJISUUZA
MKAO WA KIKE SIO MSICHANA UNAKAA MIGUU VWALAA
NDO MAANA
TULICHAGUA KISIWANIII JUA LINAZAMA TWALIONA WAKATI HUO SMILEYKIDSEVENTS
WALISHATUANDALIA MANDHARI TUKAENDA BADILI FOR #
READY FOR FLAVIANA MATATA BRIDAL SHOWER DINNER AT THE BEACH
KIVAZI ON POINT SHUKRANI KWA ZE STYLIST ROSEMARY KOKUHILWA
DETAILS
BLING BLING
ILIKUWA ALL WHITE HADI KUCHA NATANIA
TEAM BRIDE BAAABBYYY
PATA MUONEKANO UTAWAJIA MSIJALII
MADAM STYLIST ROSEMARY KOKUHILWA ‘FASHIONJUNKII’
DINNER TIME
MENGINE TUWAACHIE BABA NA MAMA….YA LAZY LAGOON YABAKI LAZY LAGOON
SIO KWA VICHEKO HIVI LOOOHH
THE MOMENT I HATE
BAADA YA
DINNER …KULIKUWA NA SUPRIZE BURUDANI KUTOKA LAZY LAGOON STAFF,
WALITUIMBIA NYIMBO TOFAUTI ZA KUMSIFU NA KUMUANDAA MWALI WETU . KUMFUNDA
SI KISIWANI BWANA EEHH MDUARA ULIHUSIKAA HASWAA
CHEERS…..TO THE…… MRS TO BE
UKAFIKA MUDA KATA CAKE TULEEE …JIUGONJWA….
BAADA YA DINNER TUKASOGEA PEMBEZONI MWA BAHARI MAHSUSI KWA KUOTA MOTO
BONFIRE!!
CREDIT:8020FASHIONBLOG
|
MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA DSM AENDELEA KUTOA MSAADA KWA KAYA
ZENYE UHITAJI MAALUMU
-
January 8,2025
Mwenyekiti wa wazazi, Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Khadija Ally Said,
ameendelea kutimiza ahadi yake ya kugawa viti mwendo kwa watu wenye
m...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment