August 6 2015 ndani ya Ukumbi wa Mlimani
City Dar es Salaam, Rais JK amekutana na wasanii ambapo kilichofanyika
hapo ni hafla ya kumuaga Rais JK ambapo imebaki kama miezi miwili hivi
amalize awamu yake ya Uongozi.
Hapa kuna pichaz Rais alivyopita na kumsalimia kila mtu ndani ya Ukumbi wakapiga picha wengine walipiga mpaka SELFIE mtu wangu.
Rais Kikwete akiwa ameongozana na Waziri John Magufuli, Abdulrahman Kinana, Naibu Waziri January Makamba na DC Paul Makonda.
No comments:
Post a Comment