Matukio / Siasa : "Dogo" Ajitosa Udiwani Kupitia CHADEMA Kata ya Korongoni Mjini Moshi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Tuesday, 21 July 2015

Matukio / Siasa : "Dogo" Ajitosa Udiwani Kupitia CHADEMA Kata ya Korongoni Mjini Moshi


Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Dogo ambaye ni Katekista wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Korongoni amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chini

Dogo akiwa na wanachama hicho


Msafara kuelekea kurudisha fomu ukijipanga.


Hapa ni furaha tupu.


Dogo akiwa na vijana wa chama hicho.


Akisaini wakati akichukua fomu.


Hapa ni ushindi tu.


Msafara huo kurudisha fomu.


Ni alama ya vidole viwili chadema .



Ni furaha tu kwa kwenda mbele.





Dogo ndani ya mchuma akienda kurudisha fomu.


Ni kama wanasema ushindi ni lazima.


Msafara huo wa kwenda kurudisha fomu.


Dogo akipongezwa na vijana wenzake.

No comments:

Post a Comment