MAWAKALA WAPONGEZWA : BANANA INVESTMENTS YAWAPONGEZA MAWAKALA WAO, MSHINDI WA KWANZA APATA GARI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 10 February 2014

MAWAKALA WAPONGEZWA : BANANA INVESTMENTS YAWAPONGEZA MAWAKALA WAO, MSHINDI WA KWANZA APATA GARI


Mshindi wa kwanza kitaifa ni Bw. Peter Assenga kutoka Morogoro aliyejishindia zawadi ya Gari,hapa akionyesha ufunguo wake katika sherehe zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo jijini Arusha. 
Mshindi wa pili ni Dorothea kutoka Rombo, Tarakea , na Mshindi wa tatu alipata friji ambae ni Bw. Ibrahim Kikweche kutoka Dar es Salaam. washindi wengine kutoka Arusha ni Bw. Zefania Kira kutoka Namanga aliyeshishindia Tv, Bw. Victor Massawe kutoka Mbuguni aliyejishindia Flat Screen Tv, Bw. Gabriel Shibu Kutoka Ulonga Shangarai
Mmoja wa wakala akipokea zawadi ya Flat Screen TV' 21'' katika sherehe zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo Moshono, jijini Arusha.
Wakala akipokea zawadi yake katika sherehe za kuwakabidhi zawadi zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo jijini Arusha.

Wakala akipokea zawadi yake katika sherehe za kuwakabidhi zawadi zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo jijini Arusha.
Wakala akipokea zawadi yake katika sherehe za kuwakabidhi zawadi zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo jijini Arusha.
Wafanyakazi wa Banana Investment wakiwa katika sherehe za kuwazadia mawakala zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo Moshono, jijini Arusha.
Mawakala walioshinda zawadi mbalimbali katika sherehe za kuwakabidhi zawadi zao ,zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo jijini Arusha.
Mshindi wa pili kitaifa ni Bi. Dorothea kutoka Tarakea Rombo , Mkoani Kilimanjaro aliyejishindia zawadi ya BAJAJ,hapa akipongezwa na meneja mauzo katika sherehe zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo jijini Arusha.
Wafanyakazi wa Banana Investments Bw. Faraja Nambua (kushoto) akiwa na rafiki yake katika sherehe za kuwazadia mawakala ,zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo, jijini Arusha.
Mshindi wa zawadi ya  Gari Bw. Peter Assenga akifurahia ndani ya gari lake aliyopewa katika sherehe zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo jijini Arusha.
Meza Kuu ,katika sherehe za kuwakabidhi mawakala zawadi zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo jijini Arusha.
Mawakala wa kampuni ya Banana Invetsment wakipiga picha ya pamoja na mgeni rasmi katika sherehe zilizofanyika ndani ya viunga vya kiwanda hicho cha Banana Investment iliopo Jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment