Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muugano Samia Suluhu Hassan
akiwasikiliza wanafunzi wa darasa la pili wa Shule ya Msingi ya Manyara
Ranch wakati alipowatembelea katika Ziara ya Kukagua
Miradi Inayawazeshwa na Asasi isiyo ya Kiserekali(NGO)y a African
Wildlife Foundation (AWF) kwa Ufadhili wa Serikali ya Marekani kupitia
shirika lake la Maendeleo(USAID)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais Muungano Samia Suluhu
Hassan na Waziri wa Nchi Ofisi ya Mkamu wa Rais Mazingira Dk Terezya
Huvisa Wakiangalia Mkaa uliotengenezwa kwa Mabaki ya Mbao (wood biomas
residues) Walipotembelea jiko la Shule ya Msingi ya Manyara Ranch Waliya
ya Monduli Mkoa wa Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassani na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira DkTerezya Huvisa
Wakimuangalia Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch Rahely
Francisi wa darasa la tano akifungua Komyuta na Kupata Maelezo ya Masomo
yao.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa
Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Manyara
Ranch wakati wa Kukagua Miradi Inayowezeshwa na asasi isiyo ya
kiserekali [NGO] ya African Wildlife Foundation (AWF) kwa ufadhili wa
Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la maendeleo (USAID) Wilaya ya
Monduli Mkoa wa Arusha.Picha na Ali Meja
No comments:
Post a Comment