Matukio : Kampuni ya Samsung Yazindua Mpango wa Samsung 'MUVIKA' 4G LTE ,Jijini Arusha. Vanessa Mdee Atumbuiza - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 9 June 2015

Matukio : Kampuni ya Samsung Yazindua Mpango wa Samsung 'MUVIKA' 4G LTE ,Jijini Arusha. Vanessa Mdee Atumbuiza





<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

UZINDUZI WA ‘SAMSUNG MUVIKA 4G LTE’ ARUSHA

Arusha, 29 Mei 2015. Nguli wavifaavyaumeme Samsung imeendeleanajuhudizakuimarikakatika nafasi ya kwanza kwauzinduziwasimuzakempyanazakushangazaza 4G LTE zilizopewajina la ‘Muvika’. Uzinduzihuuwamara ya kwanza na waainayakenchinikwaupandewasimuzamkononizenyeteknolojiayaainahiiulifanyikaHoteliya Bay Leaf Arusha. Pamojanautambulishohuotukiolilikuwakamajukwaa la usimamiziwawazalishajisimukukutananawafanyabiasharawahapanyumbani, mawakalanawadauwengine muhimu.

Soko la simuzamkononi Arusha nimojakatiyayaleambayokampuniinayatazamakamafursayapekeenailikuwasababuyakuchagua Arusha kwauzinduzi wa 4G LTE mbali na Dar es Salaam. Kutokanaukuajiwauchumimkoanihapanasektakamazautaliinamadinizinazosaidiakatikamaendeleoyakiuchumimakampunimengikama Samsung yanakujakwakasikuhakikishahuduma/bidhaazaohazikombalinawateja wao muhimu.

Uzinduziulifanyikambeleyawageniwaalikwakutokamkoanihapokukiwanaburudaniya moja kwa mojakutokakwa ‘msaniimaarufu’ nabaloziwakampuniyavifaavyaumemeya Samsung Tanzania Vanessa Mdee.

AkiongeawakatiwasherehezauzinduziMkurugenziMtendajiwaKampuniyavifaavyaumemeya Samsung Tanzania Bw Hyeongjun Seo, aliongeleamahusianomazuriyaliyopokatiya kampuni na watu wa Arusha na umuhimu wa kuzingatia huduma bora nabidhaainayoendanana Samsung. Alisema“Arusha nimkoamuhimukibiasharanahatuangaliitukuendeleakutoauborawauzoefuwetu kwa watejalakinipiakuwapabidhaazakisasanazakibunifuzinazoendananasoko la kimataifa.”

Maoni yaMkurugenzimtendajiyaliungwamkononaSylvester Manyara, MkuuwaMauzonaUsambazaji Samsung Electronics Tanzaniaakisema“Leo tunazinduateknolojiahiikatikauwepowamawakalanawasambazajiwetu, tumechagua Arusha ikiwakilishaniayakuendeleakukuaambakonisehemuyautamaduniwa Samsung.”

‘Muvika’ ninenolisilorasmilinalojaribukuelezeauwezo wa simuhiinawepesi wake katikamtandaounaokujana 4G LTE unaowawezeshawatumiajikupatahadi filamu kwakasiyakushangaza. 4G LTE (Mabadiliko yaKudumuyaKizazi cha Nne) nisimuyenyeteknolojiayakisasakatikamtandaoinayoipelekaDuniakwa kasi. Kwamahitajiyanayoongezekayasimuzakisasazenyeuwezokamahuu Samsung Tanzania wanahakikishakuwamahitajiyawatejawaoyanafikiwa.

Akiwakamabaloziwa bidhaa za Samsung Tanzania Bi Vanessa Mdee atakuwakamausowasimuzitakazotolewachiniyamwamvuliwa Muvika. Akichangiajuuyawajibu wake Vanessa alisema“Huuniukurasamwinginemzurizaiditunaoufunguana Samsung tangutulipoianzasafari yetupamojanakamamzaliwawaArusha nafurahikupatafursahiikuwamstariwambelewamabadilikoyateknolojiaambayo Samsung wanaanzisha”

Mwisho

KuhusuVifaavyakielektronikivya Samsung

Teknolojiaya Samsung inatumiwanawatutakribani 236,000 katikanchi 79, inaletamabadilikonakuiwezeshaduniakuingiakwenyeteknolojiampyanamatumiziya smart phone, luninga, air-conditioner, vifaavyanyumbanivyakieletroniki, kamera, navifaavyamaofisinikamakompyutana printers ambavyovinateknolojiayahaliyajuukukidhimahitajiyawateja. Kujifunzamengizaidi, tembeleawww.samsung.comnawww.facebook.com/SamsungMobileTanzania



<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>


HOTUBA YA MKURUGENZI MTENDAJI
MabibinaMabwana,
Waheshimiwawageniwaalikwa,
Wanahabari,
Na wafanyakazi wa Samsung
Habari zajioni,
Nawashukurukwakukubalimualikowetunakujiunganasikatikahaflahiinzito. Ni faharikuuonaumatihuukwa mara nyingine tena.
Ningependakuanzakwakuwashukuruwashirikiwetuwaaminifukwamichangoyenukwamwakamzimakatikakuifanya Samsung kuanamwelekeowamafanikiomkoanihapa.
Kama ambavyowotemnawezakushuhudia, soko la simuzakisasalinakuwadunianikotenahasazaidibarani Africa
Tanzanian kamailivyonchizajiraniimeoneshasifazakufanana. Pamoja nakuwanawakaziwenyekipato cha katimahitajiyavituvyakisasakamasimuzamkononiumekuwamkubwa.
Na kwaninitusiwesehemuyamitindoyakimataifa.
Ukuajiwa Uchumi wataifaunawezakuonekanakwa kiasi kikubwakatikashughulimbalimbalizinazofanyikakatikamkoawa Arusha.Pamojanautaliikuwamchangiajimkubwawauchumiwanchiwatu na wafanyakazi wa Arusha kamawalivyowenginewanastahilikufurahi.
MabibinaMabwana,
Leo tunakusanyikatenatunapoitambulishabidhaa nyingine ya Samsung ambayoinaniayakubadilimuelekeowashughuliza kila siku za wateja wetu.
Nanizaidiwakusherehekeapamojanaouzinduzihuuzaidiyaninyimawakalaambaommekuwawamuhimukatikakuhakikishabidhaazetuzinawafikia wateja wa Arusha pamojanakudumishauborawabidhaa na huduma zetu. Uwepowetuuliodumukatikamkoahuuunaletwana dhamira yetuyadhatikumuwezeshakilammojakumilikibidhaayetunajitihadazakuendeleakutoaufumbuziwakibunifuunaoendananasoko la kimataifa.
Kwa simu zetuza MUVIKA tunatoanguvuyakasi zaidikwa mteja wetu. 4G LTE inawakilishahatuanyinginekwenye maendeleo yasimuzamkononiikijanauwezo wa kasizaidikatikamtandaoyotendaniya simu yetu hii. Huuniuzinduziwa kwanza wa aina yake Tanzania natunaonafaharikuwawakipekeezaidikatikakuhakikishakilammojaanakuwavizurizaidikatikakupambananachangamotozaulimwenguwakisasa.
MabibinaMabwana,
Kwamanenohayomachache, naachajukwaawazikwaajiliyawenzangukuwaelezeamengizaidijuuya Muvika na Samsung 4G LTE
Asanteniwotekwamaranyinginekwakukubalimualikowetunakutuazimamudawenuwathamanizaidikwenyetukiohililinaloendelea. Natazamiakukutananakilammojawenukatikausikuhuu.
Asanteni.


No comments:

Post a Comment