Mgombea mwenye umri mdogo zaidi amejitokeza kuchukua fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameahidi kuelezea sera zake katika mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika.
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
*Dodoma*
*Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) ...
16 hours ago
No comments:
Post a Comment