Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Liberata Mulamula akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Lu
Youquig alipomtembelea Wizarani kwa mazungumzo ya kudumisha ushirikiano
wa nchi hizi mbili.
Mkalimani wa Balozi wa China Bi.Wang Fang akisalimiana na Katibu Mkuu
Balozi
wa China hapa nchini, Mhe.Lu Youqing akiwa katika mazungumzo na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Liberata Mulamula.
Katibu
Mkuu, Balozi Mulamula akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na
Balozi wa China huku Maafisa wa pande zote mbili wakinukuu kile
kinachozungumzwa.
Balozi wa China, Mhe.Lu akifurahia jambo na Balozi Mulamula
Balozi Lu Youqing akisisitiza jambo katika mkutano huo.
Maafisa
kutoka Ubalozi wa China hapa nchini Mr.Dong (kulia), Mr.Lin Liang
(katikati) na Bi.Wang Fang wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi
Mulamula na Balozi Lu.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Asia na Australasia, Bw.Nathaniel Kaaya (wa kwanza
kushoto) kwa pamoja na Maafisa Mambo ya Nje, Bw. Medard Ngaiza (wa
kwanza kulia) pamoja na Bi.Ramla Hamis wakifuatilia mazungumzo kati ya
Balozi Mulamula na Balozi Lu (hawapo pichani).
Picha na Reuben Mchome
No comments:
Post a Comment