Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm, Denis Ssebo
(kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sherehe
za kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya Msanii Juma Kassim Kiroboto "Juma
Nature" (kulia) yatakayoambatana ya sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha
redio cha 93.7 E-Fm.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Kituo cha redio cha 93.7
E-Fm, Lydia Moyo Msanii Juma Kassim Kiroboto "Juma Nature" (kulia) akizungumzia sherehe
hizo.
No comments:
Post a Comment