Mwenyekiti wa kitengo cha kina mama Jimbo la unjo na Katibu wa Chama cha NCCR Mageuzi kata ya Kilema, Leah Mudy akizungmza wakati wa mkutano uliofanyika katika eneo la Lyamombikatika jimbo la Vunjo. |
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo. |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi jimbo la Vunjo ,Dauson Lyimo akizungumza katika mkutano huo. |
Mjumbe wa Mkutano mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,Hemed Msabaha akihutubia katika mkutano huo. |
Wananchi wakijibu salamu ya chama hicho. |
Baadhi ya wananchi wakirejesha kadi za vyama mbalimbali wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Lyamombi. |
Baadhi ya kadi zilizo rejeshwa. Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini, |
No comments:
Post a Comment