Waziri
wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akizungumza wakati akizindua Baraza
la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) jijini Arusha leo,kushoto
ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Michael Mhando na kulia ni Makamu
Mwenyekiti aliyechaguliwa wa Baraza la Wafanyakazi,Deudedit Rutazaa.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini(NHIF),Michael Mhando
akitoa hotuba yake leo wakati wa mkutano wa uchaguzi na uzinduzi wa
Baraza la Wafanyakazi wa mfuko huo.
Makamu
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Taifa,Deusdedit
Rutazaa akizungumza baada ya kuchaguliwa na kuhaidi kutoa utumishi
uliotukuka.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF)wakiimba wimbo wa Mshikamano kuhamasisha umoja na maslahi bora kazini.
Wajumbe
wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF)
wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
Wajumbe
wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF)
wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya NHIF.
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Mameneja wa mfuko wa NHIF.
No comments:
Post a Comment