
Rais Nyuzi akitelemka katika ndege baada ya kuwasili

"....Karibu nyumbani..." anasema Rais Kikwete anapomlaki Rais Nyusi

Wanakumbatiana kwa furaha

Msanii
wa kikundi cha ngoma ya Mganda akitumbuiza wakati wa mapokezi ya Rais
wa Msumbiji Mhe Filipe Nyusi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere

Ngoma ya mganda

Sindimba
Kinamama wa kikundi cha Mount Usambara hawako nyuma

Rais Kikwete akisogea sehemu ya kumpokea mgeni

Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe
akisalimiana na balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe Shamim Nyanduga.
Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Mhe Hawa
Ghasia

Rais Kikwete akiongea na Flower girl Elizabeth Jackson aliye tayari kumkabidhi mgeni shada

Rais Nyusi anapokea shada la maua kutoka kwa mtoto Elizabeth

Rais Nyusi anamshukuru Elizabeth kwa maua

Rais Nyusi akitambulishwa kwa balozi Shamim Nyanduga

Rais Nyusi akitambulishwa kwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Saidi Mwambungu

Rais Nyusi akitambulishwa kwa wasaidizi wa Rais

Rais Kikwete na Mgeni wake wanasimama jukwaa maalumu wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa

Askari hodari wakipiga mizinga 21 kwa mbali kule

Rais Nyusi anakaribishwa kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa heshima yake

Rais Nyusi anakagua gwaride
Rais Nyusi anaendelea kukagua gwaride

Rais Kikwete anatambulishwa wa ujumbe alioongozana nao Rais Nyusi

Rais Nyusi anafurahia ngoma

Rais Nyusi anawasili hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro na kulakiwa na meneja mkuu wake

Rais Kikwete akitambulishwa kwa maafisa waliooongozana na Rais Nyusi

Mamia ya wananchi wakimsubiri mgeni Ikulu

Rais Kikwete akiongea na badhi ya vijana waliojitokeza kumpokea Rais Nyusi Ikulu

Rais Kikwete akiongea na badhi ya vijana waliojitokeza kumpokea Rais Nyusi Ikulu

Rais Kikwete akiongea na badhi ya vijana waliojitokeza kumpokea Rais Nyusi Ikulu

Rais Kikwete akiongea na badhi ya vijana waliojitokeza kumpokea Rais Nyusi Ikulu

Zuria jekundu na wananchi vikimsubiri mgeni

Rais Nyusi alakiwa kwa nderemo

Rais Nyusi akilakiwa kwa shangwe

Rais Kikwete akipeana mkono na mgeni wake baada ya mapokezi makubwa

Sehemu ya wanahabari wa Tanzania na Msumbiji wakiwa kazini

Rais Kikwete katika mazungumzo rasmi na mgeni wake

Rais Nyusi akimkabidhi mwenyeji wake zawadi
Rais Kikwete akimkabidhi mgeni zawadi yake

Rais Kikwete na mgeni wake wakiongea kabla ya dhifa ya kitaifa aliyomwandalia

Rais Kikwete na mgeni wake na mawaziri wa nchi zao wakiongea kabla ya dhifa ya kitaifa aliyomwandalia

Rais Kikwete na mgeni wake katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia

Rais Kikwete akihutubia wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais Nyusi

Rais Kikwete agonganishwa glasi na mgeni wake wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais Nyusi

Rais Nyusi akitoa hotuba yake

Sehemu ya mawaziri na mabalozi

Sehemu ya viongozi mbalimbali

Mabalozi wa nchi mbalimbali walioalikwa

Mabalozi

Mawaziri na mabalozi

Rais Kikwete akigonganisha glasi na mgeni wake

Mawaziri wakigonganisha glasi

Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na waalikwa wengine

Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda (kushoto), Mbunge wa Singida
Mhe. Mo Dewji, Mwenyekiti wa Yanga Bw. Yusuf Manji na Mkurugenzi
Mtendaji wa TPSF Bw. Godfrey Simbeye

Baadhi ya maafisa wa protokali wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa. Picha zote na IKULU
No comments:
Post a Comment