Matukio : Rais Jakaya Kikwete Amteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu,Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 May 2015

Matukio : Rais Jakaya Kikwete Amteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu,Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa


Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico .Picha na Maktaba

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz             
Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
     STATE HOUSE,
             1 BARACK OBAMA ROAD, 
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.

Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya kuwa naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo  ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.  Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Wizarani hapo.

Uteuzi huu umeanza tarehe 2 Mei, 2015

…………Mwisho…………

Imetolewa ;

Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu - Dar es Salaam.
4 Mei, 2015

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad