Matukio :Rais Jakaya Kikwete akagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa ,Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 16 May 2015

Matukio :Rais Jakaya Kikwete akagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa ,Dodoma


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM.kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo.Ukumbi huu upo karibu na Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma.Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment