Kama ulipitwa na hii Breaking News kutoka
Bujumbura Burundi asubuhi ya May 14 2015 zilitoka taarifa kwamba raia
hawatoki nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais
wanapambana na waliotangaza kumpindua jana.
Pia kituo binafsi cha Radio kilichotumika
kutangaza mapinduzi ya kijeshi kilichomwa moto saa tisa usiku wa kuamkia
May 14 2015 na Wanajeshi wanaomtii Rais lakini hakuna yeyote
aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha.
CHANZO :www.millardayo.com
No comments:
Post a Comment