Matukio : Mkurugenzi MUWSA ,Mhandisi Cyprian Luhemeja Awaaga Wafanyakazi ,ni baada ya Kuhamishiwa DAWASCO. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 7 May 2015

demo-image

Matukio : Mkurugenzi MUWSA ,Mhandisi Cyprian Luhemeja Awaaga Wafanyakazi ,ni baada ya Kuhamishiwa DAWASCO.


E86A6106+(800x533)
Aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa kauli ya kuwaaga baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya Mtendaji mkuu  DAWASCO.
E86A6109+(800x533)
E86A6115+(800x533)
E86A6147+(800x533)
Kauli ya Mhandisi Luhemeja ya kuwaaga wafanyakazi hao ilionekana kama mwiba na kuzua simanzi kuu kwa watumishi hao waliofanya kazi na mkurugenzi huyo kwa kipindi cha mwaka mmoja na miezi 10.
E86A6133+(800x533)

Mhandisi Luhemeja akijaribu kuwapatia wafanyakazi hao Lugha nzuri angalau wasibaki na majonzi.
E86A6121+(800x533)
E86A6141+(800x533)
Meneja Fedha wa MUWSA ,Joyce Msiru akizungumza jambo katika kikao hicho.
E86A6093+(800x533)

Hali ya huzuni ndio ilitawala katika viunga vya ofisi za Mamlaka hiyo.

Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *