Kutoka Burundi : Rais Pierre Nkurunziza Awatimua Mawaziri 3 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 18 May 2015

Kutoka Burundi : Rais Pierre Nkurunziza Awatimua Mawaziri 3


HISANI YA BBC SWAHILI. Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita. Mawaziri walioachizwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya Nchi za kigeni na biashara. Mapema hii leo, polisi walivyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.

No comments:

Post a Comment