Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungumza katika Mkutano wakujadili Amani hapa nchini ulioandaliwa na Tasisi ya Mwalimu Nyerere leo jijjini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim akizungumza katika Mkutano wa Amani
ulioandaliwa na Tasisi ya Mwalimu Nyerere leo jijjini Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Rais
wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Taricisius
Ngalalekumtwa mara baada ya kufika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo walikusanyika na baadhi ya wazee na
Viongozi wastaafu kuzungumzia Msakabari wa Amani hapa nchini.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa
akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha Wananchi Taifa (CUF), Profesa
Ibrahim Lipumba na kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi
Taifa, James Mbatia wakiwa kwenye mkutano wa Amani ulioandaliwa na
Taasisi ya Mwalimu Nyerere uliofanyika katika ukumbi wa Mwalimu nyerere
leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha NCCR-Mageuzi Taifa, James Mbatia akizungumza na waandishi
wa Habari mara baada ya kutoka nje ya mkutano wa kujadili Amani hapa
nchini uliofanyika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Mkutano wa kujadili Amani ulioandaliwa
na Tasisi ya Mwalimu Nyerere uliofanyika katika ukumbi wa Mwalimu
Nyerere jijjini Dar es Salaam leo.Picha na Avila Kakingo
No comments:
Post a Comment