Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema kupitia Arusha
Development Fund (ArDF) amesaini makubaliano na wafadhili kufanikisha
ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto Jijini Arusha wenye thamani ya US$
Mil 3.2
Makabidhiano hayo yamefanyika eneo la Burka katika kiwanja ambacho Lema alikabidhiwa na Mawalla Advoctes mapema leo asubuhi.
Chanzo : Arusha 255 Blog
No comments:
Post a Comment