Michezo: Taifa Stars Bado Ngumu Cosafa, Yapoteza Mchezo wa Pili kwa Kupigwa 2 - 0 na Madagascar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 21 May 2015

Michezo: Taifa Stars Bado Ngumu Cosafa, Yapoteza Mchezo wa Pili kwa Kupigwa 2 - 0 na Madagascar


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng. Kwa Maelezo Zaidi Bofya Hapa >>>

No comments:

Post a Comment