Matukio : Tanzania Kushiriki Mkutano wa 3 wa Maendeleo Endelevu ya Miji na Makazi Duniani, Nchini Kenya - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 14 April 2015

Matukio : Tanzania Kushiriki Mkutano wa 3 wa Maendeleo Endelevu ya Miji na Makazi Duniani, Nchini Kenya


UJUMBE WA TANZANIA KWENYE KAMATI YA MAANDALIZI YA MKUTANO WA TATU WA MAENDELEO ENDELEVU YA MIJI NA MAKAZI DUNIANI (HABITAT 3). UJUMBE HUO UNAONGOZWA NA NAIBU KATIBU MKUU,WIZARA YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI DR. SELESIE D. MAYUNGA (MBELE KULIA). WENGINE PICHANI NI MAAFISA WAANDAMIZI WA SERIKALI.

No comments:

Post a Comment