Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Uongozi wa Mamlaka zinazohusika na uwekezaji
Tanzania na Wawekezajia kutoka Egypt wakati ujumbe huo ulipofika
Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam April 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wawekezajia
kutoka Egypt baada ya mazungumzo yao wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini
kwake Ikulu Dar es salaam April 15, 2015.

Bilal, akiagana na Mr. Joe Kawkaban kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezajia
kutoka Egypt baada ya mazungumzo yao wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini
kwake Ikulu Dar es salaam April 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Wawekezajia wa CPU wakati alipokutana na ujumbe
huo Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam April 15, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wawekezajia wa CPU baada
ya mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam April 15, 2015.
(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment