Jaji Mkuu wa
Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na Mlinzi wa Usalama
katika Umoja wa Mataifa, Afisa Ally Baruti kutoka Tanzania jijini New
York.
Mhe. Jaji Mkuu yupo Umoja wa Mataifa akiongoza Jopo
Huru la Wataalam wanaopitia na kuchambua taarifa mpya kuhusu
kifo cha Bw. Dag Hammarskjold
ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon alimteua Mhe.
Jaji Mkuu kuongoza jopo hilo mwezi
uliopita, Wajumbe wengine ni Bw. Kerryn Macaulay kutoka
Australia na Bw. Henrik Ejrup Larsen kutoka Denmark
WAANDISHI WASAIDIZI NGAZI YA KATA KUTOKA MASASI, NANYUMBU WANOLEWA
-
*Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
leo Januari 22,2025 ametembelea mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi
n...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment