Zitto Kabwe Ajiuzulu : Barua ya Mh. Zitto Kabwe ya kujiuzulu ubunge Rasmi Usiku Huu Bungeni, Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 20 March 2015

Zitto Kabwe Ajiuzulu : Barua ya Mh. Zitto Kabwe ya kujiuzulu ubunge Rasmi Usiku Huu Bungeni, Dodoma


Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe (pichani) usiku huu ametangaza rasmi Bungeni Dodoma kuachia kiti hicho alichokipata kupitia CHADEMA.Mhe. Kabwe ametangaza kung'atuka nafasi hiyo baada ya Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Hassan Zungu Kumruhusu kutoa kauli binafsi mara baada ya wabunge kumaliza kupitia vifungu vya sheria ya Maafa ambayo hata hivyo haikupitishwa kwa kutotimia akidi ya wabunge ambao nusu yao hawakuwepo ukumbini.Mhe Zungu alimtakia kila la heri Mbunge huyo machachari ambaye amesema ameamua kuachia ngazi baada ya chama chake kumfukuza.

SOMA BARUA YAKE  HAPA

No comments:

Post a Comment