Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye
akiwa katika studio za Redio 5 zilizopo njiro jijini Arusha akihojiwa
live na kituo hicho juu ya utekelezaji wa ilani ya CCM pamoja na ziara
ya katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana inayoendelea katika mkoa
wa Arusha,kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho David Rwenyagira
Mkurugenzi
wa Kampuni ya TANMEDIA inayomiliki Kituo cha Redio 5 kilichopo Njiro
jijini Arusha Robert Fransic katikati,kulia Katibu wa Itikadi na Uenezi
(CCM) Nape Nnauye wakibadilishana mawazo, kushoto ni Katibu Mwenezi wa
CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo kabla ya kuingia studio kwa mahojiano
maalum jana
Muonekano katika studio hizo wakati wa mahojiano maalum kushoto ni watangazaji wa kituo hicho Wilberd Kiwale na David Rwenyagira, kulia Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye pamoja na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akiwa anashuka kutoka katika
studio za Redio5 mara baada ya mahojiano maalum na kituo hicho
Katibu
wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akibadilishana mawazo na
Mkurugenzi wa Kampuni ya TANMEDIA inayomiliki Kituo cha Redio 5
kilichopo Njiro jijini Arusha Robert Fransic katikati, pembeni ni Katibu
Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo, mara baada ya kumaliza mahojiano maalumu nakituo hicho jana
(Habari Picha na Pamela Mollel wa JAMIIBLOG)
No comments:
Post a Comment