Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba mara baada ya kutia saini makubaliano ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .
Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .
Viongozi kutoka serikali ya Tanzania na Kenya pamoja na Mashirika binafsi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha leo na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo
pamoja na shirika la TRAFFIC .Picha na Ferdinand Shayo wa Wazalendo 25 Blog
pamoja na shirika la TRAFFIC .Picha na Ferdinand Shayo wa Wazalendo 25 Blog
No comments:
Post a Comment