Matukio :Tangazo la Kupotea kwa NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

12 Mar 2015

Matukio :Tangazo la Kupotea kwa NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA


Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. Anamatatizo la kupoteleza Kumbukumbu.
Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda, 0682 822 111/ 0754 631 888.
Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kwa URP/RB/2331/2015.

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633