Habari zilizotufikia ni kuwa kuna Ajali imetokea maeneo ya Kisongo Arusha kati ya Basi la Arusha Express inayofanya Safari zake Arusha,Singida na Dodoma hadi Mbeya na Lori la kampuni ya Aggrewals la Hapa Arusha.
Chanzo cha Ajali inasemekana ni mwendo kasi wa basi la Abiria...
Taarifa nyingine zitafuata.... Stay tuned.........Wazalendo 25 Blog
No comments:
Post a Comment