Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkandarasi pamoja na Mhandisi
Mshauri wa barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya yenye jumla ya km 89.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami.
Mradi huu utakapokamilika na kupokelewa na Serikali Mkandarasi atakaa site miaka mitatu kwa ajili ya uangalizi
na kufanya marekebisho yoyote yatakayojitokeza kwa gharama zake mwenyewe.
.
Sehemu ya barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya yenye jumla ya km 89.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami.
Barabara hii imekamilika kujengwa kwa asilimia 97.
Sehemu
unapojengwa mzani utakaotumika kupimia magari makubwa yatakayopita kwenye
barabara hiyo.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Itigi waliofika kumpokea kabla ya kuwahutubia wananchi kuhusu
maendeleo ya mradi huo wa barabara.
Sehemu
ya barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya (km 89.3) katika eneo la Itigi kama
unavyoonekana.
Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Eng. Patrick Mfugale
akisoma taarifa ya ujenzi wa barabara Manyoni-Itigi-Chaya (km 89.3)
inayotarajia kukamilika hivi karibuni.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia katika mkutano huo
Waziri wa Ujenzi akiagana na baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Sekondari Itigi mara
baada ya kuhutubia mkutano huo uliofanyika Itigi mkoani Singida.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe
kushoto akijadiliana jambo na Mtendaji
Mkuu wa TANROADS, Eng. Patrick Mfugale katikati kuhusu mradi wa ujenzi huo wa
barabara
No comments:
Post a Comment