Siasa : Dk. Migiro Akagua Ujenzi Jengo la Ofisi za CCM Makao Makuu Jijini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Sunday, 18 January 2026

Siasa : Dk. Migiro Akagua Ujenzi Jengo la Ofisi za CCM Makao Makuu Jijini Dodoma


KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu John Mongella,leo Januari 17,2026 amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho katika eneo la NCC jijini Dodoma.


No comments:

Post a Comment