Matukio : Taswira mbalimbali ya Mapokezi ya Rais wa Ujerumani Joachim Gauck, Ikulu Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

4 Feb 2015

Matukio : Taswira mbalimbali ya Mapokezi ya Rais wa Ujerumani Joachim Gauck, Ikulu Jijini Dar


Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi schadt .
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliojitokeza kumpekea tarehe.03.02.2015 katika viwanja vya Ikulu.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa kwa nyimbo za taifa za mataifa hayo mawili.
Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania kwa ajili yake katika viwanja vya Ikulu.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na ujembe kutoka ujerumani uliondamana na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakati Rais huyo alipowasili Ikulu.




Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akipokelewa na wanafanyakazi wa Ikulu,wananchi mbalimbali pamoja na wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoawa wa Dar es salaam waliojitokeza viwanja vya Ikulu tarehe.03.02.2015 kumpokea.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck Ikulu na kufanyanaye mazungumzo.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck pamoja na ujumbe wake (PICHA NA FREDDY MARO).

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633