Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa
na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani
Iringa(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani)wakati wa hafla maalum ya kukabidhiwa kitita chake,Wengine katika
picha Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta
Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie
Mlay.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Ili mteja kujua kama
ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
Which Animal Rules the Savanna with Pure Speed?
-
It’s not the lion. It’s not the gazelle it hunts.
It’s a blur of power, purpose, and raw acceleration.
It's the *CHEETAH*.
Witness the fastest land...
No comments:
Post a Comment