Afisa
Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute
Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati alipofika katika hospitali ya
Wilaya ya Mkuranga kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya
wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga ambapo wanafunzi hao
watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure.Kulia ni Mganga mkuu
wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa Mkuranga
Mbenjamin Majoya na Mratibu wa Taifa wa Huduma ya Macho Dkt.Nkundwe
Mwakyusa.
Afisa
Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute
Eden Mahayo (Pwani.kushoto)akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya
kupimia macho Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin
Majoya kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga
ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho
bure.hafa hiyo ilifanyika hivi wilayani.
Kaimu
Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya
(kushoto)akikabidhiwa msaada wa vifaa vya macho na Afisa Mkazi wa
taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden
Mahayo kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za Mkuranga
ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho
bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya wilaya ya mkuranga mkoa
wa Pwani, wanao shuhudia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt.Francis
Mwanisi, Mratibu mradi Rebecca Kasika na Mratibu wa Taifa wa Huduma ya
Macho Dkt.Nkundwe Mwakyusa(wapili kutoka kushoto)
Afisa
Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute
Eden Mahayo (kushoto)akimuonyehsa mashine ya kutengenezea miwani baada
ya kukmkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya kupimia macho vyenye
thamani ya shilingi milioni 11.4 Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya
Mkuranga Mbenjamin Majoya kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi
122 za Mkuranga ambao watanufaika na huduma ya kupima na kutibiwa
macho bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya Wilaya hiyo.kulia
ni Mratibu huduma za macho mkuranga dkt.Gilbert Mrema.
Mkurugenzi
wa manispaa ya Mkuranga Kaimu Mbenjamin Majoya (kulia) Mganga Mkuu wa
Wilaya ya hiyo Dkt,Francis Mwanisi akionyeshwa mashine ya kupimia
macho mara baada ya kuwakabidhi vifaa vya macho vyenye thamani ya
shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za
Mkuranga ambao watanufaika na huduma ya kupima na kutibiwa macho
bure.hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya Wilaya hiyo.Wapilia
kutoka kushoto ni kulia ni Mratibu wa taifa wa huduma za macho
Dkt.Nkundwa Mwakyusa na mratibu wa mradi huo kwa watoto wa shule Rebecca
Kasika.
Afisa
Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute
Eden Mahayo (kushoto) akijaribu kumpima miwani matroni wa Hospitali ya
Mkuranga Rosemary Magombola wakati wa hafla ya kumkabidhi wa msaada wa
vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya
kuwahudumia wanafunzi wa shule za msingi 122 za mkuranga ambao
watanufaika na huduma hiyo ya upimaji macho pamoja na matibabu bure.
Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Kaimu Mbenjamin Majoya (kulia)
Mganga Mkuu wa Wilaya ya hiyo Dkt,Francis Mwanisi.
Matroni
wa haospitali ya wiraya ya Mkuranga Mkuranga Rosemary Magombola
akisoma moja ya maneno kwenye kibao maarumucha kupimia macho mara baada
ya kukabidhiwa msaada huona taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden
Vision Institute Eden kwa ajili ya wanafunzi wa shuleza msingi 122
.Kulia ni Mratibu wa taifa wa huduma za macho Dkt.Nkundwa Mwakyusa
(kushoto) Mratibu wa mradi huo kwa watoto wa shule za msingi toka
taasisis ya ya Brien Holden Vision Institute Eden ,Rebecca Kasika.
Afisa
maendeleo ya jamii ya mji wa kibaha mkoa wa pwani akikabidhiwa na
Mashine ya kupimia macho na Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali
ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (kushoto) wakati wa
hafla ya kukabidhi wa msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya
shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya kuwahudumia wanafunzi wa Wilaya
hiyo ya Kibaha ambao watanufaika na huduma hiyo ya upimaji macho
pamoja na matibabu bure.
Afisa
Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute
Eden Mahayo (kushoto) akisisitiza jambo kuhusiana na utunzaji wa vifaa
vya kupimia macho mara baada ya kuwakabidhi msaada wa vifaa vya macho
vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya kuwahudumia
wanafunzi wa shule za msingi za Kibaha mkoani Pwani ambao watanufaika na
huduma hiyo ya upimaji macho pamoja na kupatiwa matibabu bure.
Wafanyakazi
wa hospitali ya Kibaha kitengo cha macho wakiwa kwenye picha ya pamoja
na viongozi wa ya Brien Holden Vision Institute Eden,mara baada ya
kukabidhiwa msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni
11.4.
Wafanyakazi
wa Hospitali ya Mkuranga wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden, mara
baada ya kukabidhiwa msaada wavifaa vya macho vyenye thamani ya
shilingi milioni 11.4 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi ambao
watanufaika na mradi huo bure.
No comments:
Post a Comment