Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa mkoa wa Tanga kwenye uwanja wa Tangamano ambapo alitoa salaam za mwaka huuambapo alisema CCM mwaka huu itaweka mkazo kwenye maadili ya Viongozi.
Wananchi
wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM
wakati wa kuwashukuru wananchi hao kwa kuichagua CCM kwenye uchaguzi wa
Serikali za mitaa uliofanyika mwezi Desemba 2014.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa mkoa wa
Tanga kwenye uwanja wa Tangamano ambapo alitoa salaam za mwaka huuambapo
alisema CCM mwaka huu itaweka mkazo kwenye maadili ya Viongozi.
Wananchi
wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM
wakati wa kuwashukuru wananchi hao kwa kuichagua CCM kwenye uchaguzi wa
Serikali za mitaa uliofanyika mwezi Desemba 2014.
Baadhi
ya Viongozi waliohudhuria mkutano Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana wa kushukuru wananchi kwa kuichagua CCM kwenye uchaguzi wa
Serikali za Mitaa kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia
Mheshimiwa January Makamba,Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa
Abdalah Kigoda na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Mheshimiwa Mboni Mgaza.
Wananchi
wa Tanga mjini wakimpa mkono wa kumuga Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana mara baada ya kumaliza mkutano wake wa kuwashukuru
Watanzania kwa kuichagua CCM na kuwashukuru kwa imani yao kwa kutambua
chama kinaweza kuongoza.
Wananchi wakishangilia jambo
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimkabidhi kadi ya CCM aliyekuwa mwenyekiti
wa chama CUF-Pongwe,Bwa.Mbaraka Saad Mbaraka kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika jioni ya leo katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga.
Wakazi
wa mji wa Tanga wakiwa wamejitokeza kwa wingi jioni ya leo katika
uwanja wa Tangamano,kwenye mkutano wa hadhara,ambapo Katibu Mkuu wa
CCM,Ndugu Kinana alizungumza nao kuwashukuru kwa kufanya vyema katika
uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni nchini Kote
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwaaga Wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza
kwa wingi jioni ya leo katika uwanja wa Tangamano,mara baada ya
kumaliza mkutano wa hadhara.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alizungumza
nao kuwashukuru kwa kufanya vyema katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa
uliofanyika hivi karibuni nchini Kote.
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizungumza jambo mbele ya maelfu ya wakazi wa
mji wa Tanga,katika uwanja wa Tangamano jioni ya leo,baada ya aliyewahi
Kugombea Ubunge Tanga Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA mnamo mwaka
2010,Kassim Omar Mbarak almaarufu Makubel,alipotangaza rasmi kuhamia
chama cha CCM,baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu
Kinana alipozungumza na wakazi wa Mji wa Tanga kuwashukuru kwa kufanya vyema katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni nchini Kote.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi alipokuwa
akiwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa
Tagamano,mkoani Tanga,wa kuwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye
uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 2014 nchi nzima ambapo
mkoa wa Tanga umekuwa wa pili kwa kushinda kwa asilimia 97.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira,Mh.Ummy Mwalimu akitafuta taswira
Mzee
Yusuf akiwasalimu wakazi wa Tanga mjini ambapo anatazamiwa kutumbiza
jioni ya leo kwenye uwanja wa Mkwakwani ikiwa kama ahadi ya Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyoitoa wakati wa ziara yake ya mkoa
wa Tanga mwishoni mwa mwaka 2014.
No comments:
Post a Comment